https://youtu.be/DTjCXIP90FMMariah Carey ambaye pia alishawahi kudai kuwa hamjui Jenifer Lopez amemuambia mtangazaji wa kipindi cha Watch What Happens Live, Andy Cohen kuwa hawafahamu wasanii hao kwa kuwa huwa anatumia muda mwingi kusikiliza zaidi muziki wa Hip Hop kuliko wa Pop.
Haya ndio majibu yake alipoulizwa kama anawajua wasanii hao ambao kwasasa ni moto wa kuotea mbali duniani kote,
Kuhusu Demi Lovato, “I don’t know her either, and so I wouldn’t say anything to her,” Mariah alijibu. “She should come up, introduce herself to me, say, ‘Here’s my opinion. What do you think about it?’ That’s how you handle s—, okay?”
Kuhusu Ariana Grande, Mariah alijibu ‘“No” Mtangazaji alidai kuwa mwanzo alikuwa ana mfananisha na yeye lakini hili ndio jibu la mwanamama huyo “Child, I don’t know when early in the career was,”
Kuhusu Miley Cyrus, alijibu “Uh, I think we met in a bathroom with, I don’t know. I don’t know,”
No comments: