‘Sipendi uongo, hakuna bifu kati ya mimi na Davido’ – Christian Bella

mzinduzi.com
Mwimbaji hodari Christian Bella amekaa kwenye mzinduzi.com na kujibu kile kilichosambaa kwamba anatarajia kufanya kolabo na mwimbaji staa wa Nigeria Davido.
‘Mimi napenda kuongelea kitu ambacho kimefanyika tayari, kuna mtu aliongelea hiyo ishu ya mimi kufanya kolabo na Davido lakini sio mimi…’ – Bella
‘Sipendi uongo, hakuna bifu kati ya mimi na Davido’ – Christian Bella  ‘Sipendi uongo, hakuna bifu kati ya mimi na Davido’ – Christian Bella Reviewed by Unknown on 05:30 Rating: 5

No comments: